Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 5
  • Uchungu Mwingi Unaotokana na Kutotii

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uchungu Mwingi Unaotokana na Kutotii
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Kumtumikia Yehova Si Vigumu Sana
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • “Yehova Mungu Wenu Anataka Mfanye Nini?”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Mruhusu Yehova Akutumie
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Biblia—Kitabu cha Mambo Hakika, Si Hadithi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Uchungu Mwingi Unaotokana na Kutotii

Baadhi ya Waisraeli walifunga ndoa na watu walioabudu sanamu (Ezr 9:1, 2; w06 1/15 20 ¶1)

Walipuuza amri za Yehova zilizo wazi (Ezr 9:10-12)

Walijiletea wao na familia zao uchungu mwingi kwa sababu ya kutotii (Ezr 10:10, 11, 44)

Dada ambaye alifunga ndoa na mwanamume ambaye si Shahidi sasa ana mtoto na anatamani sana maisha yake ya zamani alipokuwa alipokuwa akishiriki utendaji wa kiroho kwa bidii. Kuna sigara mezani. Mume wake ambaye amelewa amelala kwenye kochi.

Amri zote ambazo Yehova ametoa ni kwa faida yetu. (w09 10/1 10 ¶6) Tunapotii tunaepuka matatizo mengi wakati huu na wakati ujao tutapata baraka za milele.

JIULIZE, ‘Nimeepuka matatizo gani kwa sababu ya kumtii Yehova?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki