Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 15
  • “Yehova Mungu Wenu Anataka Mfanye Nini?”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Yehova Mungu Wenu Anataka Mfanye Nini?”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Kumtumikia Yehova Si Vigumu Sana
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Biblia—Kitabu cha Mambo Hakika, Si Hadithi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Jifunze Kutokana na Usemi wa Mfano Katika Wimbo wa Biblia
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 15

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Yehova Mungu Wenu Anataka Mfanye Nini?”

Mtii Yehova kwa sababu unamwogopa na kumpenda (Kum 10:12; w09 10/1 10 ¶3-4)

Utii huleta baraka (Kum 10:13; w09 10/1 10 ¶6)

Yehova anataka tumkaribie yeye (Kum 10:15; cl 16 ¶2)

Yehova hatulazimishi tumtii. Badala yake, anataka tumpende na kumtii “kutoka moyoni.” (Ro 6:17) Wale wanaochagua kumtumikia Yehova, wanafurahia maisha bora zaidi.

Picha: Mwanamke akichagua kumtumikia Yehova. 1. Akinywa kileo na kuvuta sigara. 2. Akiwa ameguswa sana na mambo aliyojifunza wakati wa funzo lake la Biblia. 3. Akizungumza kwa furaha na marafiki wanaomtumikia Yehova.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki