Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 16
  • Fanya Maamuzi Yenye Hekima Kuhusu Kileo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fanya Maamuzi Yenye Hekima Kuhusu Kileo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Je! Unywe Vileo?
    Kupata Faida Zote za Ujana Wako
  • Je! Imekupasa Kunywa Vileo?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
  • Je, Una Maoni ya Kimungu juu ya Vinywaji Vyenye Alkoholi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Je, Ni Vibaya Kunywa Kileo?
    Amkeni!—2006
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 16

MAISHA YA MKRISTO

Fanya Maamuzi Yenye Hekima Kuhusu Kileo

Picha kutoka kwenye video ‘Fikiria Madhara Kabla ya Kunywa.’ Nyoka aliye na meno akitokea kwenye kinywaji ambacho mwanamume ameshika.

Wakristo wote wanapaswa kuwa na sifa ya kujizuia inapohusu kileo. (Met 23:20, 29-35; 1Ko 6:9, 10) Ikiwa Mkristo ataamua kunywa, anapaswa kufanya hivyo kwa kiasi. Anapaswa kuepuka kutegemea kileo na kuwakwaza wengine. (1Ko 10:23, 24; 1Ti 5:23) Kwa kweli, hakuna mtu anayepaswa kushinikizwa kutumia kileo, hasa vijana.

TAZAMENI VIDEO YA VIBONZO KWENYE UBAO FIKIRIA MADHARA KABLA YA KUNYWA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Kwa nini Wakristo wote wanapaswa kutii sheria zinazohusu kunywa kileo?—Ro 13:1-4

  • Kwa nini hatupaswi kuwaruhusu wengine watushinikize kunywa kileo?—Ro 6:16

  • Tunaweza kuepukaje mitego inayohusu kileo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki