Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 12
  • Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Ayubu—Kielelezo cha Mwenendo wa Utawa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • “Mtumaini Yehova”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2022
  • Kitabu Cha Biblia Namba 18—Yobu
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Ayubu Alilitukuza Jina la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 12
Ayubu akimpa chakula mwanamke maskini na mwana wake kwenye lango la jiji.

Ayubu akiwaonyesha upendo mshikamanifu wenye uhitaji

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Unajulikana kwa Sifa Kama za Ayubu?

Ayubu alijipatia heshima ya majirani wake (Ayu 29:​7-11)

Ayubu alijulikana kwa kuwaonyesha upendo mshikamanifu wale waliokuwa na uhitaji (Ayu 29:​12, 13; w02 5/15 22 ¶19; ona picha kwenye jalada)

Ayubu aliwatendea wengine kwa uadilifu na haki (Ayu 29:14; it-1 655 ¶10)

Picha: Dada kijana akiwasaidia wengine. 1. Akimtegemeza dada mwenye umri mkubwa kwa mkono wake wanapotembea pamoja. 2. Akimsikiliza dada mwingine anapojieleza. 3. Yeye na dada mwingine wakimtolea ushahidi mwanamke anayemtembeza mbwa wake. 4. Akiwapa chakula wageni walimtembelea.

Jina zuri ni lenye thamani. (w09 2/1 15 ¶3-4) Tunajipatia sifa nzuri kwa kudumisha mwenendo mzuri kadiri muda unavyopita.

JIULIZE, ‘Ninajulikana kuwa na sifa zipi?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki