Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 8
  • Nehemia Alitaka Kuwahudumia Wengine, Si Kuhudumiwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Nehemia Alitaka Kuwahudumia Wengine, Si Kuhudumiwa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • “Endelea Kuushinda Uovu Kwa Wema”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • “Unikumbuke Kwa Ajili ya Wema, Ee Mungu Wangu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Nehemia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Kitabu Cha Biblia Namba 16—Nehemia
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 8
Nehemia akishirikiana na Waisraeli wengine katika kazi ya kujenga upya kuta za Yerusalemu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Nehemia Alitaka Kuwahudumia Wengine, Si Kuhudumiwa

Nehemia hakutumia mamlaka yake kujinufaisha (Ne 5:14, 15, 17, 18; w02 11/1 27 ¶3)

Nehemia hakusimamia kazi tu bali pia aliifanya (Ne 5:16; w16.09 6 ¶16)

Nehemia alimwomba Yehova amkumbuke kwa sababu alikuwa ameonyesha upendo wa kujidhabihu (Ne 5:19; w00 2/1 32)

Ingawa Nehemia alikuwa gavana, hakutarajia kutendewa kwa njia ya pekee. Yeye ni mfano mzuri kwa wale walio na mapendeleo na majukumu kutanikoni.

JIULIZE, ‘Je, ninazingatia zaidi kile ninachoweza kuwafanyia wengine kuliko kile wanachoweza kunifanyia?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki