Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 15
  • Kwa Nini Ponografia Ni Mbaya?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kwa Nini Ponografia Ni Mbaya?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Ninaweza kuepukaje Ponografia?
    Amkeni!—2007
  • Kwa Nini Ujiepushe na Ponografia?
    Vijana Huuliza
  • Kwa Nini Niepuke Ponografia?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
  • Ponografia—Je, Ina Madhara?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 15

MAISHA YA MKRISTO

Kwa Nini Ponografia Ni Mbaya?

Leo ponografia inapatikana kila mahali na unahitaji tu kubofya kifaa chako ili uipate. Watu wengi, kutia ndani baadhi ya watu wa dini, wanahisi kwamba ponografia haina madhara.

Picha: Picha kutoka kwenye video yenye kichwa “Je, Ponografia Ni Dhambi Machoni Pa Mungu? ” 1. Wanaume wawili na mwanamke mmoja wakitumia simu zao wakiwa kwenye kituo cha basi. Wanaume hao wanaangalia habari zilizoandikwa “XXX.” 2. Baadaye, mmoja kati ya wanaume hao na mke wake wanasoma makala kwenye jw.org yenye kichwa “Je, Biblia Inashutumu Ponografia? ”

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA JE, PONOGRAFIA NI DHAMBI MACHONI PA MUNGU?, KISHA MJIBU SWALI LIFUATALO:

Maandiko yafuatayo yanatusaidiaje kuelewa hisia za Mungu kuhusu ponografia?

  • 1Ko 6:​9, 10

  • Mt 5:28

  • Kol 3:5

  • Yak 1:​14, 15

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki