Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w23 Machi uku. 32
  • Dokezo la Kujifunza

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Dokezo la Kujifunza
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Kutumia Sehemu ya “Ni Nini Kipya” kwa Njia Nzuri
  • JW Library
  • JW.ORG
  • Jipatie Hekima ya Kukabiliana na Changamoto za Kila Siku Kwenye JW.ORG
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Dokezo la Kutumia Tovuti
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Unaweza Kupata Msaada
    Amkeni!—2020
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
w23 Machi uku. 32

Dokezo la Kujifunza

Kutumia Sehemu ya “Ni Nini Kipya” kwa Njia Nzuri

Sehemu ya “Ni Nini Kipya” katika JW Library® na kwenye tovuti ya jw.org inaonyesha machapisho yaliyotolewa karibuni zaidi. Unawezaje kutumia sehemu hiyo ili uhakikishe una habari za karibuni zaidi?

JW Library

  • Makala mpya zinapatikana kwa kusasisha mfululizo mzima ambamo makala hiyo inapatikana. Hivyo, mfululizo wa makala unapowekwa kwenye sehemu ya “Ni Nini Kipya” unaweza kupakua toleo la karibuni zaidi la mfululizo huo. Kisha unaweza kusoma makala hiyo mpya inayopatikana mwanzoni mwa orodha ambayo imepangwa kulingana na tarehe.

  • Huenda usifaulu kumaliza kusoma machapisho makubwa zaidi, kama vile magazeti, katika kipindi kimoja. Ili kukumbuka machapisho ambayo hujamaliza kusoma, jaribu kuyaweka kwenye orodha yako ya Vipendwa hadi utakapomaliza kusoma.

JW.ORG

Mambo fulani, kutia ndani habari na matangazo, yanawekwa tu kwenye tovuti ya jw.org, na si kwenye JW Library. Kumbuka kuangalia kwa ukawaida sehemu ya “Ni Nini Kipya” katika tovuti ili upate makala za karibuni.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki