Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g20 Na. 2 uku. 16
  • Unaweza Kupata Msaada

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaweza Kupata Msaada
  • Amkeni!—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Msaada Zaidi Kwa Ajili ya Familia
    Amkeni!—2018
  • Jipatie Hekima ya Kukabiliana na Changamoto za Kila Siku Kwenye JW.ORG
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Msaada Zaidi kwa Ajili ya Wazazi
    Amkeni!—2019
  • Tovuti Yetu Rasmi—Imetengenezwa ili Itunufaishe Sisi na Wengine
    Huduma Yetu ya Ufalme—2012
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2020
g20 Na. 2 uku. 16
Mwanamke ameketi kwa starehe akisoma Biblia.

Unaweza Kupata Msaada

Je, umefiwa na mtu unayempenda?

  • Tembelea tovuti ya jw.org/sw, na utafute “kukabiliana na huzuni ya kufiwa.”

Je, unakabili hali ngumu ya kiuchumi?

  • Tembelea tovuti ya jw.org/sw, na utafute “tumia pesa zako kwa hekima.”

Je, umewahi kujiuliza, ‘Ni nini kusudi la maisha?’

  • Tembelea tovuti ya jw.org/sw, na utafute “usikate tamaa, maisha yana kusudi?”

Je, unakabiliana na ugonjwa wa kudumu?

  • Tembelea tovuti ya jw.org/sw, na utafute “jinsi ambavyo familia hukabiliana na ugonjwa wa kudumu.”

Biblia ina miongozo inayofaa kwa ajili ya kila mtu katika familia. Kanuni zake zinaweza kuboresha uwezo wa mtu wa kufikiri na kufanya maamuzi.​—METHALI 1:1-4.

Tunakualika uchunguze Biblia kibinafsi. Tazama video Kwa Nini Ujifunze Biblia?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki