Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g19 Na. 2 uku. 16
  • Msaada Zaidi kwa Ajili ya Wazazi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msaada Zaidi kwa Ajili ya Wazazi
  • Amkeni!—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Msaada Zaidi Kwa Ajili ya Familia
    Amkeni!—2018
  • Unaweza Kupata Msaada
    Amkeni!—2020
  • Tutapata Wapi Majibu ya Maswali Muhimu Maishani?
    Tutapata Wapi Majibu ya Maswali Muhimu Maishani?
  • Biblia Inawezaje Kukusaidia?
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2019
g19 Na. 2 uku. 16

Msaada Zaidi Kwa Ajili Ya Wazazi

Mwanamke anasoma Biblia

Bila shaka, umetambua kwamba ushauri uliotolewa kwenye gazeti hili unategemea Biblia. Biblia ina mwongozo bora kwa ajili ya kila mshiriki wa familia. Kanuni zake zinaweza kuboresha uwezo wa mtu wa kufikiri na wa kufanya maamuzi mazuri.​—Methali 1:1-4.

PIA, BIBLIA HUJIBU MASWALI MUHIMU MAISHANI, KAMA VILE:

  • Ni nini maana ya uhai?

  • Je, Mungu ndiye wa kulaumiwa kwa sababu ya kuteseka kwetu?

  • Inakuwaje tunapokufa?

Tunakutia moyo uichunguze Biblia ili upate majibu ya maswali hayo na mengine mengi. Tazama video yenye kichwa Kwa Nini Ujifunze Biblia? Ili kuipata, tembelea jw.org/sw.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki