Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w25 Agosti uku. 32
  • Nufaika Kutokana na Marejeo ya Pambizoni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Nufaika Kutokana na Marejeo ya Pambizoni
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • Habari Zinazolingana
  • Dokezo la Kujifunza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Dokezo la Kujifunza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
  • Maktaba Kiganjani Mwako
    Jinsi Michango Yako Inavyotumiwa
  • Jipatie Hekima ya Kukabiliana na Changamoto za Kila Siku Kwenye JW.ORG
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
w25 Agosti uku. 32

DOKEZO LA KUJIFUNZA

Nufaika Kutokana na Marejeo ya Pambizoni

Marejeo ya pambizoni katika Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya yanaonyesha jinsi Biblia inavyopatana kwa kukuelekeza kwenye maandiko yaliyo na habari za ziada. Ili kupata marejeo ya pambizoni, tafuta kwanza herufi ndogo kando ya neno. Katika Biblia iliyochapishwa, tafuta herufi inayofanana na iliyo kando ya neno kwenye sehemu ya katikati au pembeni ya ukurasa ili kupata maandiko yanayohusiana. Katika tovuti ya jw.org au programu ya JW Library®, bofya herufi hiyo ili kuona maandiko yanayorejelewa.

Marejeo ya pambizoni yanaweza kukupeleka kwenye mambo yafuatayo na mengine zaidi:

Simulizi Linalolingana: Rejeo litakupeleka katika simulizi kuhusu tukio lilelile katika kitabu kingine cha Biblia. Kwa mfano, tazama 2 Samweli 24:1 na 1 Mambo ya Nyakati 21:1.

Nukuu: Rejeo linaonyesha chanzo cha maneno hayo. Kwa mfano, tazama Mathayo 4:4 na Kumbukumbu la Torati 8:3.

Unabii Uliotimizwa: Rejeo linakupeleka kwenye utimizo wa unabii. Kwa mfano, tazama Mathayo 21:5 na Zekaria 9:9.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki