Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb15 uku. 8-uku. 9 fu. 1
  • Matukio ya mwaka ulipita

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Matukio ya mwaka ulipita
  • 2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Utukufu wa Yehova Unaangazia Watu Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • ‘Kutoka Katika Milima Utachimba Shaba’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Shimo Kubwa Zaidi Ulimwenguni Lililopata Kuchimbwa na Binadamu
    Amkeni!—1993
  • Tafsiri Bora ya Neno la Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
Pata Habari Zaidi
2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb15 uku. 8-uku. 9 fu. 1
Picha katika ukurasa wa 8, 9

Matukio muhimu ya mwaka uliopita

Yehova Mungu alimwongoza nabii Isaya kutabiri hivi: “Badala ya shaba nitaingiza dhahabu, na badala ya chuma nitaingiza fedha, na badala ya miti, shaba, na badala ya mawe, chuma.” (Isa. 60:17) Katika mwaka uliopita, tumeona waziwazi jinsi unabii huo unavyoendelea kutimia. Kama vile tu kuweka kitu bora mahali pa kitu cha hali ya chini huonyesha mabadiliko, Mashahidi wa Yehova wameona mabadiliko katika mipango ya kitengenezo katika siku hizi za mwisho.—Mt. 24:3.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki