Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb16 uku. 18-uku. 19 fu. 2
  • Maendeleo ya Ujenzi Huko Warwick

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maendeleo ya Ujenzi Huko Warwick
  • 2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Maendeleo ya Haraka Huko Warwick
    2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Tengenezo Lililo Mwendoni
    2014 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
  • Matukio Muhimu ya Mwaka Uliopita
    2017 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Walijitoa Wenyewe kwa Hiari​—New York
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
Pata Habari Zaidi
2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb16 uku. 18-uku. 19 fu. 2
Picha iliyopigiwa angani inayoonyesha maendeleo ya ujenzi wa makao makuu mapya huko Warwick, New York

MATUKIO MUHIMU YA MWAKA ULIOPITA

Maendeleo ya Ujenzi Huko Warwick

UJENZI wa makao makuu mapya huko Warwick, New York unaendelea vizuri na unathibitisha kwamba Yehova anaunga mkono na kutegemeza mradi huo.

Anthony Morris, mshiriki wa Baraza Linaloongoza alisema kwamba ndugu kutoka sehemu mbalimbali za dunia watakaribishwa kutembelea Warwick ujenzi utakapokamilika.

Wajenzi wakifanya kazi katika eneo la mapokezi katika makao makuu mapya Warwick, New York

Eneo la mapokezi kwenye makao makuu mapya huko Warwick, New York

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki