Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb16 uku. 30
  • Kutafsiri Biblia Katika Lugha Nyingi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kutafsiri Biblia Katika Lugha Nyingi
  • 2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2014
  • Biblia Iliyotengenezwa Ili Idumu
    2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2014
  • Jumla Kuu Mwaka 2014
    2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
Pata Habari Zaidi
2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb16 uku. 30

MATUKIO MUHIMU YA MWAKA ULIOPITA

Kutafsiri Biblia Katika Lugha Nyingi

KUFIKIA Agosti 31, 2015,Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ilikuwa imetafsiriwa ikiwa nzima au kwa sehemu katika lugha 129. Pia, inapatikana katika tovuti ya jw.org kwa lugha 129, kutia ndani lugha saba za ishara [alama]. Matoleo yafuatayo yalitolewa mwaka wa utumishi wa 2015:

ILITOLEWA

MAHALI

LUGHA

TOLEO

Septemba 5, 2014

Malaysia

Kimalay

Maandiko ya Kigirikia

Septemba 6, 2014

Korea Kusini

Kikorea

Toleo lililorekebishwa

September 19, 2014

Georgia

Kiazerbaijani

Biblia nzima

Septemba 26, 2014

Kazakhstan

Kikazakh

Biblia nzima

Oktoba 10, 2014

Ghana

Kiga

Maandiko ya Kigirikib

Novemba 14, 2014

Filipino

Kihiligaynon

Biblia nzima

Desemba 12, 2014

Nigeria

Isoko

Maandiko ya Kigirikic

Desemba 13, 2014

Ethiopia

Kiamhara

Biblia nzima

Desemba 19, 2014

Fiji

Kifiji

Biblia nzima

Desemba 26, 2014

Mexico

Kitzotzil

Maandiko ya Kigirikid

Desemba 29, 2014

Ghana

Ewe

Biblia nzima

Machi 22, 2015

Brazili

Kireno

Toleo lililorekebishwa

Mei 9, 2015

Zambia

Kiluvale

Biblia nzima

Julai 17, 2015

Haiti

Kikreoli cha Haiti

Biblia nzima

Agosti 28, 2015

Kenya

Kikuyu

Maandiko ya Kigirikie

Agosti 28, 2015

Kongo (Kinshasa)

Kikongo

Biblia nzima

a Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetolewa kwa mara ya kwanza katika lugha hizo.

b Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetolewa kwa mara ya kwanza katika lugha hizo

c Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetolewa kwa mara ya kwanza katika lugha hizo

d Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetolewa kwa mara ya kwanza katika lugha hizo

e Tafsiri ya Ulimwengu Mpya imetolewa kwa mara ya kwanza katika lugha hizo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki