Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb15 kur. 176-192
  • Jumla Kuu Mwaka 2014

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumla Kuu Mwaka 2014
  • 2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Jumla Kuu Mwaka 2015
    2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Jumla Kuu Mwaka 2013
    2014 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
  • 2016 Jumla Kuu
    2017 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Jumla Kuu Mwaka 2012
    2013 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
Pata Habari Zaidi
2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
yb15 kur. 176-192

Jumla Kuu Mwaka 2014

  • Ofisi za Tawi za Mashahidi wa Yehova: 90

  • Idadi ya Nchi Zinazoripoti: 239

  • Idadi ya Makutaniko: 115,416

  • Hudhurio la Ukumbusho Ulimwenguni Pote: 19,950,019

  • Waliokula Mkate na Kunywa Divai Ulimwenguni Pote: 14,121

  • Kilele cha Wahubiri wa Ufalme: 8,201,545

  • Wastani wa Wahubiri Watendaji Kila Mwezi: 7,867,958

  • Asilimia ya Ongezeko Kupita 2013: 2.2

  • Idadi ya Waliobatizwa: 275,581

  • Wastani wa Mapainia Wasaidizi Kila Mwezi: 635,298

  • Wastani wa Mapainia Kila Mwezi: 1,089,446

  • Jumla ya Saa Zilizotumiwa Shambani: 1,945,487,604

  • Wastani wa Mafunzo ya Biblia Kila Mwezi: 9,499,933

Katika mwaka wa utumishi wa 2014, Mashahidi wa Yehova walitumia zaidi ya dola milioni 224 za Marekani ili kuwatunza mapainia wa pekee, wamishonari, na waangalizi wanaosafiri katika migawo yao ya utumishi wa shambani. Ulimwenguni pote, kuna wahudumu 24,711 waliowekwa rasmi kufanya kazi katika ofisi za tawi. Wote hao ni washiriki wa Kikundi cha Ulimwenguni Pote cha Watumishi wa Pekee wa Wakati Wote cha Mashahidi wa Yehova.

MIAKA MIWILI YA KWANZA

Agosti 27, 2012 hadi Agosti 31, 2014

  • Picha katika ukurasa wa 177

    Tovuti ya jw.org inapatikana katika zaidi ya lugha 540

  • Machapisho yanaweza kupakuliwa katika zaidi ya lugha 700

  • Picha katika ukurasa wa 177

    850,000,000+ jumla ya watu waliotembelea Tovuti ya jw.org

  • Zaidi ya kurasa bilioni 4 za Tovuti zilitembelewa

  • Zaidi ya mafaili bilioni 1 ya machapisho yalipakuliwa

  • Video zaidi ya milioni 159 zilitazamwa au kupakuliwa

  • 100,000+ maombi ya kujifunza Biblia kwa njia ya mtandao yalipokewa

    Picha katika ukurasa wa 177

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki