Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • yb14 kur. 176-192
  • Jumla Kuu Mwaka 2013

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jumla Kuu Mwaka 2013
  • 2014 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
  • Habari Zinazolingana
  • Jumla Kuu Mwaka 2015
    2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Jumla Kuu Mwaka 2014
    2015 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • Jumla Kuu Mwaka 2012
    2013 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • 2016 Jumla Kuu
    2017 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
Pata Habari Zaidi
2014 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehovah
yb14 kur. 176-192

Jumla Kuu Mwaka 2013

  • Ofisi za Tawi za Mashahidi wa Yehova: 91

  • Idadi ya Nchi Zinazoripoti: 239

  • Idadi ya Makutaniko: 113,823

  • Hudhurio la Ukumbusho Ulimwenguni Pote: 19,241,252

  • Waliokula Mkate na Kunywa Divai Ulimwenguni Pote: 13,204

  • Kilele cha Wahubiri wa Ufalme: 7,965,954

  • Wastani wa Wahubiri Watendaji Kila Mwezi: 7,698,377

  • Asilimia ya Ongezeko Kupita 2012: 2.1

  • Idadi ya Waliobatizwa: 277,344

  • Wastani wa Mapainia Wasaidizi Kila Mwezi: 496,089

  • Wastani wa Mapainia Kila Mwezi: 1,025,677

  • Jumla ya Saa Zilizotumiwa Shambani: 1,841,180,235

  • Wastani wa Mafunzo ya Biblia Kila Mwezi: 9,254,963

Katika mwaka wa utumishi 2013, Mashahidi wa Yehova walitumia karibu dola milioni 200 za Marekani ili kuwatunza mapainia wa pekee, wamishonari, na waangalizi wanaosafiri katika migawo yao ya utumishi wa shambani.

Ulimwenguni pote, kuna wahudumu 22,719 waliowekwa rasmi kufanya kazi katika ofisi za tawi. Wote hao ni washiriki wa kikundi cha Ulimwenguni Pote cha Watumishi wa Pekee wa Wakati Wote cha Mashahidi wa Yehova.

Grafu katika ukurasa wa 177

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki