Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ijwbq makala 12
  • Je, Biblia Ina Habari Sahihi Kuhusu Maisha ya Yesu?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Biblia Ina Habari Sahihi Kuhusu Maisha ya Yesu?
  • Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Jibu la Biblia
  • Kuokoa Hazina ya Kale Kutoka Kwenye Takataka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Ithibati ya Uhifadhi wa Kimungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Kwa Nini Unaweza Kuamini Vitabu vya Injili vya Biblia?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Uthibitisho wa Mapema wa Vitabu Vya Biblia Vinavyokubalika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Maswali ya Biblia Yajibiwa
ijwbq makala 12
Yesu akilindwa na wanajeshi

Je, Biblia Ina Habari Sahihi Kuhusu Maisha ya Yesu?

Jibu la Biblia

Mwandishi wa Biblia, Luka, alisema hivi kuhusu masimulizi aliyoandika kuhusu maisha ya Yesu: “nimefuata kwa uangalifu mambo yote tangu mwanzo kwa usahihi.”—Luka 1:3.

Watu fulani wanadai kwamba masimulizi ya maisha ya Yesu yaliyoandikwa katika Vitabu vya Injili, yaani, maandishi ya watu walioishi wakati wake kama vile Mathayo, Marko, Luka, na Yohana, yalibadilishwa wakati fulani katika karne ya nne.

Hata hivyo, sehemu fulani muhimu ya Injili ya Yohana ilipatikana nchini Misri mwanzoni mwa karne ya 20. Sehemu hiyo inajulikana kama Papyrus Rylands 457 (P52) na imehifadhiwa katika Maktaba ya John Rylands Library, huko Manchester, Uingereza. Ina kitabu cha Yohana 18:31-33, 37, 38 katika Biblia za leo.

Hii ndiyo sehemu ya zamani zaidi ya hati za Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo. Wasomi wengi wanaamini kwamba sehemu hiyo iliandikwa karibu mwaka wa 125 W.K., miaka 25hivi baada ya maandishi ya awali kuandikwa. Maandishi ya sehemu hii yanalingana kabisa na maandishi ya hati za baadaye.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki