-
Mathayo 1:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Kuanzia Abrahamu mpaka Daudi kulikuwa na vizazi 14; kuanzia Daudi mpaka wakati wa kupelekwa uhamishoni Babiloni, vizazi 14; kuanzia wakati wa kupelekwa uhamishoni Babiloni mpaka Kristo, vizazi 14.
-
-
Mathayo 1:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Basi, vizazi vyote kutoka Abrahamu mpaka Daudi vilikuwa vizazi kumi na vinne, na kutoka Daudi mpaka uhamisho wa kwenda Babiloni vizazi kumi na vinne, na kutoka uhamisho wa kwenda Babiloni mpaka Kristo vizazi kumi na vinne.
-