11 Kwa kweli ninawaambia, kati ya wale waliozaliwa na wanawake hajatokea mtu mkuu kuliko Yohana Mbatizaji, lakini mtu mdogo zaidi katika Ufalme wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.+
11 Kwa kweli nawaambia ninyi, Kati ya wale waliozaliwa na wanawake+ hajatokea mkuu kuliko Yohana Mbatizaji; lakini mtu aliye mdogo zaidi katika ufalme+ wa mbinguni ni mkuu kuliko yeye.