-
Mathayo 11:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa kweli nawaambia nyinyi watu, Miongoni mwa wale waliozaliwa na wanawake hakujainuliwa mkubwa zaidi kuliko Yohana Mbatizaji; lakini mtu ambaye ni mdogo zaidi katika ufalme wa mbingu ni mkubwa zaidi kuliko yeye.
-