-
Mathayo 15:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Lakini Yesu hakumjibu mwanamke huyo. Kwa hiyo wanafunzi wake wakaja na kumwambia: “Mwambie aende, kwa sababu anaendelea kutufuata akipaza sauti.”
-
-
Mathayo 15:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Lakini yeye hakumjibu neno lolote mwanamke huyo. Kwa hiyo wanafunzi wake wakaja na kuanza kumwomba: “Mwache aende zake; kwa sababu anaendelea kupaaza sauti akitufuata nyuma.”
-