-
Mathayo 15:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Lakini Yesu hakumjibu mwanamke huyo. Kwa hiyo wanafunzi wake wakaja na kumwambia: “Mwambie aende, kwa sababu anaendelea kutufuata akipaza sauti.”
-
-
Mathayo 15:23Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
23 Lakini yeye hakusema neno kwa kujibu huyo mwanamke. Kwa hiyo wanafunzi wake wakaja na kuanza kumwomba: “Mwache aende zake; kwa sababu yeye afuliza kupaaza kilio akitufuata nyuma.”
-