28 Lakini mtumwa huyo alipotoka akamkuta mmoja wa watumwa wenzake aliyekuwa na deni lake la dinari* 100, akamshika na kumkaba koo, akisema, ‘Nilipe ninachokudai.’
28 Lakini mtumwa huyo akatoka, akamkuta mmoja wa watumwa wenzake aliyekuwa na deni lake la dinari+ mia moja; akamkamata, akamkaba koo, akisema, ‘Lipa deni lako lote.’