-
Mathayo 18:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 Lakini mtumwa huyo akatoka kwenda na kukuta mmoja wa watumwa wenzake aliyekuwa anamwia dinari mia; na, akimbamba, akaanza kumsonga pumzi, akisema, ‘Lipa chochote kile uwiwacho.’
-