-
Mathayo 21:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 “Mnaonaje? Mtu fulani alikuwa na watoto wawili. Akamwendea wa kwanza, akamwambia, ‘Mwanangu, leo nenda ukafanye kazi katika shamba la mizabibu.’
-