-
Mathayo 21:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 “Mnaonaje? Mtu fulani alikuwa na watoto wawili. Akamwendea wa kwanza, akamwambia, ‘Mwanangu, leo nenda ukafanye kazi katika shamba la mizabibu.’
-
-
Mathayo 21:28Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
28 “Nyinyi mwafikiri nini? Mtu alikuwa na watoto wawili. Akimwendea wa kwanza, akasema, ‘Mtoto, nenda kafanye kazi leo katika shamba la mizabibu.’
-