-
Mathayo 26:45Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
45 Kisha akarudi na kuwaambia wanafunzi: “Mnalala na kupumzika wakati kama huu! Tazama! Saa imekaribia ya Mwana wa binadamu kusalitiwa mikononi mwa watenda dhambi.
-