-
Mathayo 26:45Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
45 Kisha akawajia wanafunzi na kuwaambia: “Kwa wakati kama huu nyinyi mmelala usingizi na kupumzika! Tazameni! Saa imekaribia Mwana wa binadamu asalitiwe kuingia katika mikono ya watenda-dhambi.
-