-
Marko 3:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Hata kutoka Yerusalemu, Idumea, ng’ambo ya Yordani, na maeneo ya Tiro na Sidoni, umati mkubwa ukamjia uliposikia kuhusu mambo mengi aliyokuwa akifanya.
-