-
Marko 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 Hata kutoka Yerusalemu na kutoka Idumea na kutoka ng’ambo ya Yordani na kuzunguka Tiro na Sidoni, umati mkubwa, uliposikia ni mambo mengi kadiri gani aliyokuwa akifanya, ukamjia.
-