-
Marko 4:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Lakini baada ya kupandwa, humea na kuwa kubwa kuliko mboga nyingine zote na kutokeza matawi makubwa, hivi kwamba ndege wa angani hupata makao chini ya kivuli chake.”
-