48 Alipowaona wanafunzi wake wakitaabika kupiga makasia kwa kuwa upepo ulikuwa ukivuma kinyume chao, usiku karibu kesha la nne* akawaendea akitembea juu ya bahari; lakini alitaka* kuwapita.
48 Na alipowaona wakitaabika+ katika kuvuta kwao makasia, kwa maana upepo ulikuwa ukivuma kinyume chao, karibu kesha la nne la usiku akawaendea, akitembea juu ya bahari; lakini alitaka kuwapita.