-
Marko 6:48Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
48 Na alipowaona wakitaabishwa sana katika kuvuta kwao makasia, kwa maana upepo ulikuwa dhidi yao, karibu lindo la nne la usiku akaja kuwaelekea, akitembea juu ya bahari; lakini alikuwa na mwelekeo wa kuwapita kando.
-