-
Marko 7:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 kwa kuwa hakiingii moyoni mwake bali huingia tumboni, kisha hutoka na kuingia chooni?” Kwa hiyo akatangaza vyakula vyote kuwa safi.
-