-
Marko 7:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 kwa kuwa hakiingii moyoni mwake bali huingia tumboni, kisha hutoka na kuingia chooni?” Kwa hiyo akatangaza vyakula vyote kuwa safi.
-
-
Marko 7:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 kwa kuwa hicho hupita, si ndani ya moyo wake, bali kuingia katika matumbo yake, nacho hupita nje kuingia katika mtaro wa takataka?” Kwa njia hiyo akatangaza vyakula vyote kuwa safi.
-