-
Marko 10:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 “Tazama! Tunapanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa binadamu atatiwa mikononi mwa wakuu wa makuhani na waandishi. Nao watamhukumia kifo na kumtia mikononi mwa watu wa mataifa,
-