-
Marko 10:33Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
33 “Sisi hapa, tunasonga mbele kupanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa binadamu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu, na waandishi, nao watamhukumu adhabu ya kifo na watamkabidhi kwa watu wa mataifa,
-