-
Marko 11:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 akawaambia: “Nendeni katika kijiji mtakachokiona, na mara tu mtakapoingia mtamwona mwanapunda akiwa amefungwa, ambaye hakuna mtu amewahi kuketi juu yake. Mfungueni na kumleta.
-