2 akawaambia: “Shikeni njia mkaingie katika kijiji mnachokiona mbele yenu, nanyi mara moja mtakuta punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni na kuwaleta kwangu.+
30 akisema: “Nendeni mkaingie katika kijiji mnachokiona mbele yenu, na ndani yake baada ya kuingia mtamkuta mwana-punda akiwa amefungwa, ambaye hakuna yeyote kati ya wanadamu ambaye amewahi kuketi juu yake. Mfungueni mkamlete.+