2 akawaambia: “Shikeni njia mkaingie katika kijiji mnachokiona mbele yenu, nanyi mara moja mtakuta punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni na kuwaleta kwangu.+
2 na kuwaambia: “Nendeni mkaingie katika kijiji mnachokiona mbele yenu, na mara tu mtakapoingia ndani mtamkuta mwana-punda akiwa amefungwa, ambaye hakuna mwanadamu yeyote amepata kuketi juu yake; mfungueni mkamlete.+