-
Luka 19:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 akisema: Nendeni katika kijiji mtakachokiona, na mtakapoingia mtamwona mwanapunda akiwa amefungwa, ambaye hakuna mtu amewahi kuketi juu yake. Mfungueni na kumleta.
-
-
Luka 19:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 akisema: “Nendeni mwingie katika kijiji kilicho karibu yenu, na ndani yacho mkiisha kuingia mtakuta mwana-punda amefungwa, ambaye hakuna yeyote kati ya wanadamu aliyepata kuketi juu yake wakati wowote. Mfungueni mmlete.
-