-
Luka 19:30Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
30 akisema: “Nendeni mwingie katika kijiji kilicho karibu yenu, na ndani yacho mkiisha kuingia mtakuta mwana-punda amefungwa, ambaye hakuna yeyote kati ya wanadamu aliyepata kuketi juu yake wakati wowote. Mfungueni mmlete.
-