-
Luka 5:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Akaingia katika mashua moja iliyokuwa ya Simoni, akamwomba aivute mbali kidogo na nchi kavu. Kisha akaketi na kuanza kuwafundisha watu akiwa kwenye mashua.
-