-
Luka 5:3Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
3 Akipanda ndani ya mojawapo ya hizo mashua, iliyokuwa ya Simoni, akamwomba aivute mbali kidogo kutoka nchi kavu. Ndipo akaketi, na kutoka kwenye hiyo mashua akaanza kufundisha umati.
-