-
Luka 5:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Waliposhindwa kumwingiza kwa sababu ya umati, wakapanda kwenye paa, wakaondoa vigae na kumshusha akiwa kwenye kitanda kati ya wale waliokuwa mbele ya Yesu.
-