-
Luka 5:19Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
19 Kwa hiyo, wakikosa kupata njia ya kumwingiza kwa sababu ya umati, wakapanda juu kwenye paa, na kupitia vigae wakamshusha chini pamoja na kile kitanda kidogo miongoni mwa wale waliokuwa mbele ya Yesu.
-