-
Luka 8:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Kisha watu wengi kutoka nchi ya Wagerasene wakamwomba Yesu aondoke, kwa sababu walikuwa wameogopa sana. Ndipo akapanda mashua ili aondoke.
-