-
Luka 8:37Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
37 Kwa hiyo umati wote kutoka nchi yenye kuzunguka ya Wagerasene ukamwomba aondoke kwao, kwa sababu ulikuwa umeshikwa na hofu kubwa. Ndipo akapanda ndani ya mashua na kurudi.
-