-
Luka 8:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 Yule mwanamke alipoona kwamba hakuepuka kutambuliwa, akaja akitetemeka na kuanguka chini mbele yake, akaeleza mbele ya watu wote sababu iliyomfanya amguse na jinsi alivyoponywa mara moja.
-