-
Luka 8:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 Yule mwanamke alipoona kwamba hakuepuka kutambuliwa, akaja akitetemeka na kuanguka chini mbele yake, akaeleza mbele ya watu wote sababu iliyomfanya amguse na jinsi alivyoponywa mara moja.
-
-
Luka 8:47Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
47 Alipoona kwamba hakuponyoka kutambuliwa, huyo mwanamke akaja akitetemeka akaanguka chini mbele yake na kufunua mbele ya watu wote sababu ya yeye kumgusa na jinsi alivyoponywa mara hiyo.
-