32 Petro na wenzake walikuwa wamelemewa na usingizi, lakini walipoamka kabisa waliuona utukufu wa Yesu+ na wanaume wawili waliokuwa wamesimama pamoja naye.
32 Sasa Petro na wale waliokuwa pamoja naye walikuwa wamelemewa na usingizi; lakini walipopata kuamka kabisa waliuona utukufu+ wake na wale wanaume wawili waliosimama pamoja naye.